Connect with us

Maisha

Karibu Elizabeth Michael ‘Lulu’, wapenda urembo ‘walikumisi’ Mtaani.

Published

on

Nifuraha kwa baadhi ya Watanzani hususani  kwa watoto wa kike ‘wasichana’ pamoja na wamama wapenda urembo na muonekano mzuri hususani katika maswala ya nywele na mavazi.

Furaha hii imeongezeka maradufu baada ya Elizabeth Michael ‘Lulu’ kubadilishiwa adhabu na sasa anatumikia kifungo cha nje kwa amri ya Mahakama Kuu Tanzania.

Kupitia mitandaao ya kijamii Lulu amekuwa gumzo leo hususani katika kurasa za wadada baada ya kuonyesha furaha yao ya kufurahi kutoka kwa msanii huyo machachali ambaye kila kukucha huwa na staili mpya za nywele pamoja na nguo.

Elizabeth Michael ‘Lulu’.

Lulu akiwa amevalia gauli ya rangi nyekundu.

Lulu akiwa amevalia nguo ya kitenge.

Lulu amekuwa akifanya vizuri katika maswala ya fasheni, fasheni za nguo na fasheni za nywele, hakuna nguo ambayo anavaa ikakosa kumpendeza.

Lulu amekuwa akionekana kuwa ni mbunifu sana kwa upande wa usukaji wa nywele, kila siku amekuwa ni mtu wa muonekano tofauti na wakuvutia.

Hongera kwako Lulu kwa kufikia hapa maana kama kujifunza umeshajifunza kutokana na ulichopitia, muhimu kwa sasa kuishi kwa amani na kufata taratibu uliyopewa mwisho wa siku uweze kwa huru kabisa.

 

 

Continue Reading
Advertisement
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Maisha

Ajinyonga mpaka kufariki

Published

on

Joseph Ojur mwenye umri wa 52 mkazi wa ukanda wa  Kabagu katika manispaa ya Njeru amejinyonga mpaka kufa jumapili ya June 3 baada ya kunyimwaunyumba na mkewe.

Ojur inasemekana kuwa alimwambia mkewe kuwa alifanya vipimo vya ugonjwa wa UKIMWI na akakutwa nao.

Na tangu amwambie mkewe hivyo amekuwa akinyimwa ‘unyumba’.

Kamanda wa Polisi eneo la Njeru, Christopher Tuhunde amesema kuwa, marehemu alijinyonga ndani ya nyumba yake na jeshi hilo linaendelea kuchunguza kwa undani juu ya tukio hilo ili kuja na ripoti kamili kuhusiana na kujinyonga kwa Ojur.

Hata hivyo Tuhunde amewashauri wakazi wa eneo hilo kupenda kuomba ushauri kwa wenzao juu ya matatizo yanayowakabili kuliko kukimbilia kujiua.

Continue Reading

Maisha

Je, Unaweza Kujivunia Ujauzito ukiwa na umri gani? Brigitte Nielsen ametangaza kuwa Mjamzito

Published

on

Muigizaji nyota kutoka Italia ambaye ana asili ya Dernmark na aliyewahi kuwa mke wa zamani wa Sylvester Stallone ametangaza kuwa anatarajia kuwa ana ujauzito aliopewa na mume wake wa sasa Mattia Dessi.

Brigitte Nielsen ameshangaza wengi baada ya kutangaza ujauzito huo akiwa na umri wa miaka 54, na taarifa hizo amezitangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Tayari ni mama wa watoto wanne ambao ni Julian, Killian, Douglas na Raoul ambaye ndio mtoto wake wa kwanza kwa mume wake wa sasa ambaye amedumu naye kwa miaka kumi na miwili tangu walipooana mwaka 2006.

happy time ❤ positive vibes #happyness #positivevibes

A post shared by Brigitte Nielsen (@realbrigittenielsen) on

Katika moja ya picha yake inayo onyesha tumbo la mtu mjamzito, aliyoweka kwenye ukurasa wake wa Instagram wenye wafuasi zaidi ya laki moja aliandika “Family is getting Longer” akimanisha kuwa sasa Familia inakua.

Mwanzoni amewahi kuwa kwenye ndoa na Roul Meyer, Sebastian Copeland, Sylvester Stallone na Kasper Winding.

Continue Reading

Maisha

Kenya: Mwanafunzi aunda gari linalotumia nishati ya jua Kenya

Published

on

Mwanafunzi mmoja nchini Kenya ameunda gari linalotumia kawi ya jua, gari ambalo limekuwa likiwavutia watu sana mtaani kwake, na mtandaoni.

Samuel Karumbo, 30, ni mwanafunzi katika chuo cha mafunzo anuwai cha serikali mjini Kitale, Magharibi mwa Kenya lakini ameliunda gari lake katika eneo la Langas, Eldoret si mbali sana na mji wa Kitale.

Anasema gari lake, ambalo lina mitambo mitatu ya sola iliyobandikwa, linaweza kusafiri umbali wa kilomita 50 kwa siku.

Mitambo hiyo inaweza kuzalisha kadri ya jumla ya watu 260.

Continue Reading

Trending

Copyright © 2018 HELLO Media Tanzania