Connect with us

udaku

Mama Hamisa”Mmenitukania Mwanangu hadi Tumbo la Uzazi limeniuma”

Published

on

Mama Mzazi wa Hamisa Mobetto amevunja ukimya na kuanza kufunguka juu ya kinachoendelea katika mitandao ya kijamii.

Mama wa staa huyo Hamisa amesema asingependa kuona mwanae anatukanwa mtandaoni kwani ni kitu kinachomuumiza sana.

Hamisa Mobetto

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;

Mmenitukania Mwanangu hadi Tumbo la Uzazi limeniuma 😔😔 , natamani ningewazaa wawili ili ajifariji kwa mwenzie.

Pia ningeomba familia zote zilizopo Instagram, Mpunguzieni matusi na kumdharilisha Mwanangu, kama kawakosea ninamwombea Msamaha mwezi huu mtukufu . .

Mpeni Amani ili na mimi nifurahie furaha ya Uzazi wangu. Ni mwenyezi Mungu pekee huchagua barabara atakayopitia Mwanaadamu.

Ikumbukwe kuwa Hamisa amekuwa katika mvutano na familia ya Diamond Platnumz mara baada ya hivi karibuni kuwepo na drama tele kuwa Diamond anarudiana na mzazi mwenzie, Zari The Boss Lady.

Interesting For You

Continue Reading
Advertisement
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Burudani

Mlela ampasomo Diamond, amtaka kuwapiga chini warembo hawa

Published

on

Msani wa filamu Bongo, Yusuph Mlela amefunguka na kusema kuwa angekuwa yeye ndio Diamond Platinumz, basi asingekuwa na uhusiano na Zari, Hamisa Mobeto wala Wema Sepetu.

Staa huyo amesema hayo baada ya tetesi za mwanamuziki huyo kurudiana na mzazi mwenzake, Zari The Boss Lady.

Mlela amesema kuwa kwasababu Diamond ndiyo maisha aliyoyachagua basi hana budi kuendelea nayo kama alivyozolea.

Amesema kuwa Diamond ana maisha yake na maamuzi yake pia, kwa hiyo yeye afurahie tu maisha yake its ok, mimi siwezi kumpangia.

Pia amesema Ningekuwa mimi nisingekuwa nao wote (Zari, Mobeto wala Wema), siyo kwamba siwapendi, kwanza sitembei na watu maarufu ninatoka na watu wa kawaida tu,”.

Continue Reading

udaku

Hamisa Mobetto afunguka mazito, amuomba msamaha Mama yake

Published

on

Video Vixen Hamisa Mobetto amefunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kumuomba msamaha mama yake mzazi.

Staa huyo machachali mjini ameyafanya hayo baada ya mama yake kuonekana kupost ujumbe unaonekana kumtetea binti yake kutokana na matusi anayotukanwa na watu kwenye mitandao.

@mama_mobetto Na ndiyo maana Ukachaguliwa kua Mama yangu & thats why ulinizaa Mimi peke yangu bila kaka wala dada ….. pengine ungetuzaa wengi ingekua shida zaidi or ungetoa mimba yangu ungepata tabu🤣……. All and all theres a reason ulichaguliwa na Mungu uwe Mama Hamisa Hassan Said Mobeto . …………… all & All unisamehe pale napokosea maana najua ungekua hutukanwi kama ingekua sio mimi …. nisamehe mama Angu me binti yako ni Njia tu kwasasa ninapita ipo siku tutayasahau 🙏🏾 …… Huu sio wakat wa kuhuzunika maana ata Ningekua wao Ningemchukia Hamisa so nawaelewa …. yalofanyika yamefanyika hakuna anaeweza badilisha …. Tujikung’ute Vumbi tuendelee na Safari 💪🏾 nakupenda sana Mw/Mungu Akuweke na akulinde mpaka siku utakayo kuja kuona vitukuu vyako kama bibi anavyoona vitukuu vyake kwangu …. Amin Inshallah❤️…… ukitaka kupendeza kama @mama_mobetto basi usisahau kupita dukan kwetu @mobettostyles Tukushonee Nguo kali za aina mbali mbali ❤️🔥.

A post shared by HamisaMobetto (@hamisamobetto) on

Hamisa mzazi mwenzake na Diamond alimuomba mama yake aweze kumsamehe pale anapokosea maana anajua angekuwa sio yeye mama yake  asingetukanwa.

Hamisa alimtaka mama yake aweze kujikaza na kuendelea kupambana.

Continue Reading

udaku

Wema Sepetu abariki ndoa ya Diamond Platnumz na Zari

Published

on

Muigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu ameshangaza watu wengi baada ya kufunguka kuwa yupo tayari kushudia ndoa ya Diamond Platnumz na Zarinah The Boss Lady.

Wema alifunguka hayo baada ya video ya wimbo wa Iyena wa Diamond ambapo ndani yake yupo Zari kama video queen na wanaoekana wanafunga ndoa.

Wema Sepetu

Zari na Diamond

Wema alimtaka Diamond kufanya kweli na kumuoa mama watoto wake huyo ambapo aliandika maneno haya Kupitia ukurasa wake wa Instagram:

Kupitia akaunti yake Instagram Wema Sepetu ameandika “New Track Alert Ila kama ingekuwa Pambe ingekuwa Kweli”. Pia amengeza kwa kuandika “Just thinking out Loud, Diamond Chibudeeee Fanya kweli bwana. Inshallah mwaka huu hata mwakani. Tuje kucheza Baikoko sie, Rayvanny Kazi nzuri”.

Ikumbukwe kuwa Zari aliweka wazi kuwa aliachana na Diamond baada ya video kusambaa zilizomuonyesha Diamond Platnumz na Wema wakikumbatiana Kwenye kumbi za starehe Miezi minne iliyopita.

Continue Reading

Trending

Copyright © 2018 HELLO Media Tanzania